| Aslay pia alidokeza alisema ingawa kwa sasa anasumbuliwa na majimama mijitu mizima, lakini amekuwa nao mbali sana kwakuwa hivi sasa lengo lake likiwa katika kusoma na kuona fani ya muziki inaendaje. |
| Dogo Aslay akiwa na mdogo wake Dogo Muu ambaye anakuja na filamu ya Shahidi. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi