Sunday, May 27, 2012

Bobu Junior aanza kuitangaza albamu ya Nichumu

Nyota wa muziki wa kizazi kipya Raheem Rummy 'Bob Junior' ameshakamilisha albamu yake mpya ambayo itakuwa na nyimbo takribani nane,  ikiwemo Nichumu. Bob Junior alisema albamu hiyo itakwenda kwa jina la Nichumu, ambayo kwa sasa ameshaanza kuitangaza kutokana na Tour yake ya Kanda ya kati, na tayari ameshaanza  kukamilika kwa takribani asilimia kubwa. Alisema albamu hiyo itakuwa kali kuliko zile zilizopita kwa mwaka huu, kwakuwa imeingiza sebene la nguvu,kama ilivyokuwa kwa Nichum.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi