Wajukuu ni
kundi jipya jijini ambayo Inamahusiano ya moja kwa moja na kila moja aliye na
babu au bibi duniani, iwe ameshatangulia
mbele za haki au bado yupo hai. Ila kama
unavyojua hakuna jumuiya, au club isiyokuwa na wawakilishi, sasa wawakilishi wa
wajukuu wanatoka sehemu tofauti tofauti, ili kuwawakilisha wajukuu kwa namna ya
kipekeee.Wa kwanza ni
Daudi lucas! huyu ndiye yule aaliyetambulika kama manager, au kiongozi wa
zamani wa mexicana ambaye alikaimu sehemu ya mesen Selector kiongozi wa studio
ya De fatality. Baada ya
kujitoa mexicana lacavela kundi ambalo liliaanda kesi dhidi ya baghdad na
mwishowe wasanii wa mexicana kutokungwa mkono na yoyote Kutoka kwa wasanii. Mesen alitamani
kurudi kundini kwa mabavu! hivyo kwa sasa Daud Lucas anawawakilisha wajukuu ili
kuratibu mipango yote iliyotazamiwa na itakayotazamiwa kufanyika. Dj Remy kwa upande wa burudani hatutawenza kupata shida kwa kuwa Wajukuu pia wanae
muwakilishi ambaye kabla ya kupiga sahihi ya kudumu na Wajukuu Ent alikuwa
nchini Uganda akiwa kama Dj wa radio za
Uganda takribani stesheni tatu zenye
majina. Alipokuja
Nchini tanzania maraa baada ya kukaa nje kwa muda mrefu ameamua kusimama kidete
kuinua tasnia ya ma dj hapa nchini ili kufikia miaka 5 mbele kuwe na wimbi
kubwa la ma dj kama alivyo yeye. Watatu
anafahamika kama D gold, msanii ambaye anakuja juu kwa kasi saana baada ya
kuachia ngoma yake ya kwanza iitwayo tomorrow aliyofanya kwa Mesen Selector
mwanzoni mwa mwaka huu. Baada ya
kuja nchini tokea mjini kampala ambako ndiko alikuwa akifanya shughuli
zake za mziki! yuko pia mjukuu wa haule mdogo wa mwisho wa profesor jay . Piayupo Black rhino ambae ndie aliwahi kumtabiria baghdad
kuwa baghdad kabla ya kuwa Mjukuu wa lucifa, na wa mwisho huyu ni baghdad
nadhani hakuna haja ya kumuelezea sana. Baghdady kashakiri ya kuwa ni mjukuu wa lucifa that
means yuko tayari kuipeperusha flag ya chama. saport yako ukiwa kama mwana
africa mashariki unaehitaji mziki wa Afrika Mashariki utambulike dunia nzima
kwa kuplay part yako. Maendeleo
yetu ni maendeleo ya Afrika Mashariki, ni maendeleo ya Afrika ni maendeleo ya
mziki wa nyumbani na pia ni maendeleo yako kamaa Mjukuu!
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi