| Khalfan pacha wa Cloud112 akiwa amemshika mtoto wa Cloud Nabil 'Prince, Cloud Junior'. Khalfan amesema yeye ameshika sana upande wa dini, na hawezi kushirikiana na kaka yake katika masuala ya filamu. hata hivyo anamuombea sana duwa siku moja aachane na kuigiza na kufanya kazi zingine kwaajili yakumtukuza Mungu |