Tuesday, April 3, 2012

New Release kutoka kwa Chidi Benzi, wakati akimsubiri Ali Kiba

New Track kutoka kwa Chid Benzi.... Wakati huo huo akijiandaa kuja na Track nyingine ya nguvu.
Katika nyimbo hiyo ambayo anatarajia kumshirikisha Ali Kiba 4 Realy pamoja na Karabani.