Bob Junior anasema kwamba ni kweli anakuwa naye pamoja tena kwa karibu lakini ni kirafiki jambo ambalo lilipelekea kuja pamoja katika wimbo wa Nichum.
Hata hivyo Bob Junior amesema yapo mengi zaidi ataongea kuhusu na hisia hizo za watu, lakini kwa muda huu bado yupo njia panda kwakuwa wamemkaba koo kuhusiana na ishu hiyo.
Anasema anamengi ya kuongelea kuhusu Video yake ya Nichumu, ambayo ilianza kuzua gunzo hata kabla ya kushoot kwake, na kuhusishwa na matukio mbalimbali, ikiwemomoja la kutetea ndoa ya jinsia moja 'Ushoga na Usagaji'