Benzarelly (babu)
kutoka pande za mbezi beach (makonde) jijini
dar es salaam, msanii chipukizi wa bongo fleva anayesumbua kwenye mitaa mingi ya huku mbezi beach pamoja na vitongoji
vyake kama kawe na tegeta ayejulikana kwa jina la christian
benzarelly (a.k.a benzarelly) ameachia track yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina
la "kona zote za dar" kazi
nzuri ya mkono wa mtu mzima g5, pande zile
za mbezi beach dar. benzarelly anawaambia mashabiki wake
wakae mkao wa kula kwani yupo mbioni kuachia
track zingine mfululizo ambazo zitakuja kumbamba ile
mbaya...!
benzarelly profile:
jina la msanii : christian benzarelly (a.k.a benzarelly)
jina la wimbo : kona zote za dar
studio
: dubi record
producer :
g5
|