| Mwanamuziki Ali kiba inadaiwa ameshindwa kuendelea kurekodi wimbo wake mpya wa Zombi, kutokana na kitete ambacho kimemkuta baada ya kuhusisha katika kesi ya Lulu. Taarifa kutoka kwa mtu wake wa karibu anasema Ali Kiba, alimsaidia Lulu kumpa rifti, lakini hakujua zaidi ni matatizo gani Lulu alisababisha kuhusiana na mwigizaji nguli wa filamu marehemu Steven Kanumba , jambo hilo lilimpelekea kuingia kwenye wasiwasi na akili yake kutokaa sawa kiasi cha kutoendelea na urekodiji wa wimbo wake wa Zombi. |
|