Wednesday, April 18, 2012

Zola D naMb Dog katika Show ya Ulaya.

Mwanzmuiki Zola D amesema Show yake ya Munich nchini Ujerumani imeisha salama, huku wakipata shangwe kubwa kutoka kwa Mafans wao ambao walikuwa kwenye show hiyo. Mwanamuziki huyoambaye ameongozana na Mb Dog, amesema bado safari yao ndiyo kwanza inaanza kutokana na marajio makubwa ya kuznguka sehemu kubwa ya Ulaya, wakisaidiwa na Kampuni ya Tizo Entertainment.
Wamiliki wa kampuni ya Tizo Entertainment, ZolaD na Tinah wakiwa kwenye picha ya pamoja

Zola D aliimba kwenye moja ya nyimbo zake.

Mb Dog aliwarusha hadi wazungu kwenye Show hiyo.