Shindano la
Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012, jana limefikia ukingoni baada ya kutoa
tuzo kwa wasanii ambao wamestahili kupata tuzo hizo kutokana na mashabiki wa
muziki huo, kupiga kura kwa leo la kufanikisha nani anastahili kupata tuzo
hiyo.
Katika tuzo
za mwaka huu kumetawaliwa na majigambo, mafumbo, mitindo na vituko vya hapa na
pale, ilimradi kuleta radha tofauti.
Lakini kwa kuanza tunataja kila msanii na tuzo
yake aliyochukua, 1. Wimbo Bora Wa
Reggae- Arusha Gold by Warriors from East (2) Wimbo Bora wa Dancehall- Maneno
Maneno by Queen Darlin' (3) Wimbo Bora Zouk Rhumba- Dushelele By Ally Kiba (4)
Wimbo bora wenye vionjo vya asili- Vifuu Tundu By A.T (5) Wimbo Bora wa Taarab- Nani kama Mama By Isha
Mashauzi (6) Wimbo Bora wa Kiswahili(Bendi)- Dunia
Daraja By Twanga Pepeta(7)Wimbo Bora wa Afro Pop- Hakunaga By Suma Lee (8)
Wimbo Bora wa R&B- My Number 1 Fan By Ben Pol |
| Mtunzi Bora wa Mwaka- Diamond 18. Producer Bora Wa Mwaka- Maneck (19) Video Bora ya Muziki ya mwaka- Moyo Wangu By Diamond (20) Wimbo Bora wa mwaka- Hakunaga by Suma Lee |
(21) Hall Of
Fame(Taasisi)- JkT Taarab -Hall of Fame(Binafsi)-King Kiki -Hall of
Fame(Binafsi)- Remmy Ongalla (22) Mwimbaji Bora wa Kike- Lady Jay Dee (23)
Mwimbaji Bora wa Kiume- Barnaba
|
Bonyeza hapo chini kidogo 'Read More' kupata picha zaidi.... Endelea kuwa na BONGO UNIT siku zote