Ali Akida akiwa na wapiga gitaa wapya katika bendi mpya ya Mashujaa, lakini hata hivyo anasema bado hajapata mkataba, kwani akishakamilisha huomkataba lazima akaonane na Asha Baraka wa Twanga Pepeta na kukabidhi barua ya kuondoka kwake.
Chini ni Lilian Internet yeye alichukuliwa kwa dau la Milioni tanokwa kuhamishwa tu,kisha akapangiwa nyumbakodi laki mbili, kisha mshahara juu,kwa kazi ya unenguaji katika bendi hiyo mpya na hapa tayari akianza kujinoa kwaajili ya kuanza kazi | |