Thursday, March 8, 2012

Hali tata yaanza kwa madaktari na wanafunzi wake

Madaktari wamesema tayari wameshaanza mgumo wao mpya wa siku ambazo hazina ukomompaka pale Waziri Haji Mponda na mwenzake watakapojiuzuru wadhifa wao, na ndipo wataweza kurudi tena kwenyevitengo vya kazi baada yakutokuwa na imani na viongozi hao wa juu katika sekta hiyo nyeti.
wakati madaktari hao wakiisurutisha Serikaliiwapige chini viongozi hao, Wanafunzi nao wamefika kwenye wizara hiyo ya Afya wakilalamika siku ya saba hawajala. Waanafunzi hao wa chuo cha afyaMuhimbili, wameilalamikiawizara hiyokwa kutowapelekea fedha kwaajili ya msosi jambo ambalolimewafanya washindwe kuhudhulia madalasani mwao.
Hadi sasa wananchi badohawajajua juu ya hatma yao,kwani kilaupande unalalamikana kujiona wapo sahihi juu ya uamuzi wanaochukua, hicho hatali kama ya mwanzo inasadikiwa itarudi tena lakini safari hii inaweza kuwa mbaya zaidi kama hatua za haraka hazichukuliwa.

AU MNATAKA TUTIBIANA KIASILI KAMA HIVI...... OKOA MAISHA YA MTANZANIA WASIO NA HATIA