tangazji wa muda mrefu kutoka ITV Janet, jana alikuwa akifungua kipindi chake cha kwanza kwa upande wa Tv kinachokwenda kwa jina la Ongea na Janeti.
Kipindi hicho ambacho kwa bahati mbaya kilishindwa kuruka katika stesheni ya Clouds Tv, na hatmaye walifungua Shampeni kwaajili ya kukubariki wakati mikakati ikifanyika.
Aidha fundi mitambo wa Clouds Tv walisema kutoruka kwa kipindi hicho kunatokana na program waliyoitumia katika kuhifadhi, imeshindikana kusomeka katika programu wanayoitumia wao na kusababibsha,
kuibadili ili kuweza kutumika kama wanavyohitaji wao. |