Saturday, March 10, 2012

Wasanii wapiga dua kumuombea Cloud Jr

Baada ya wasanii kupata taarifa ya kuzaliwa mtoto wa mwigizaji mwenzao Cloud 112 ambaye anaitwa Cloud Junior auNabir, walikusanyika na kuomba dua la pamoja ili mungu amlinde mtoto huyo na matukio ya dunia. Dua zima liliongozwa na msanii mwenzao Jacob Stephan 'JB', wakati maneno ya busara almaarufu kama usia ukitolewa na Chiki Mchome, wakati Cloud112 naye alimalizia kutoa shukrani zake kwa wansanii wenzake walioudhulia kwa kuonyesha moyo wa ushirikiano.
Barafu akiwa kwenye pozi hospitalini Aga Khan
Mchungaji JB akiwa na hostadhi Vicent Kigosi 'Ray' katika vazi la kanzu
Cloud na Odama
Hostadhi Vicent Kigosi ndani ya pamba ya Kanzu...
Recho akiwa pamoja na Odama,
Shangazi yake mtoto Maliam Ally
nyuma yake Mtitu
Stive Nyerere na Sabrina