| Mwigizaji wa filamu Hatman juzi tarehe 7 alifiwa na bibi yake Belkumana Mbogoro aliyezaliwa mwaka 1928,na hatmayeleo wamefanikisha kwenda kuzika. Wasanii mbalimbali waliwezakuudhulia kwenye msiba huo,lakini lilipokuja sualala kwenda kuchukua mwili wa maiti Monchwali na kusafirisha waliokwenda ni wachache sana jambo ambalo linashangaza. Hawa hapo juu ndiyo wasanii ambao walikuwa pamoja nao, ingawa wengi wao walisikika walikuwepo kwenye msiba nyumbani, na wengine wakiwa na dharura za hapa na pale, jambo lililopelekea kutofika Muhimbili kuchukua mwili na kusafirisha mkoani. |