Monday, March 5, 2012

Twanga walivyofunika Lind

Muimbaji Dogo Rama alivyokuwa akiwarusha
Kazi ilikuwa hapa sasa, kwenye mauno
Mwimbaji ambaye alitokea mbali sana tangu ezi ya unenguaji Khadija Kimobiteli, naye akionyesha mambo yake.
Hapa wakati walipofika, Amigolas akiwa na wanamuziki wenzake.