Wednesday, March 7, 2012

Chibwa wa Mexicana kuja kitofauti

msaniii alieweza kuzoa sifa za kutosha kwa muda mfupi kwa kushirikishwa na wasanii wengi wapya walioibuka na style tofautitofauti na wengine wakiwa ni wakongwe ambae anatamba na nyimbo yake ambayo hivi karibuni katoka kuachia video ya wimbo huo inayoitwa aghibadance - P.M the baba, Chibwa man kwa sasa ameamua kurudi na project mpya ya kumsimamisha mwanadada ambae kwa mara ya kwanza walikutanishwa na colabo ya full ng'ae ng'ae anaetambulika kama tanah kwa kufanya ngoma ambayo itambulisha project yao iitwayo TANCHIY. aidha chibwa amesema jina la nyimbo ya kwanza kutoka kwenye project ya TANCHIY
 ambayo itakuwa official relesead march 7 2012 inayoitwa TAKE IT DOWN. saport yako inahitajika ili kuweza kuufanya ujio huu wa TANCHIY kuweza kuwa ni ujio wa kuleta mafanikikio katika mziki wetu hapa nyumbani kupitia chibwa na tanah.