Thursday, March 1, 2012

Hongera Mr Ramadhani Nyamonde

Huu ndio  mwanzo wa safari yake katika maisha mapya ya ndoa, pia ikawa mfano mzuri katika maisha ya sisi rafiki zake, ambao tumekuwa waoga kuanza kuoa, na wengine kuolewa kwa kudhani ni kujitia nuksi. Mungu akubariki, Ramadhani Nyamonde,  kwani ni ishara nzuri kwa kila mwanaadam na huwezi kukamilisha safari ya maisha bila ya kuoa.... katika vitabu vya dini, aya ya ............. mstari wa................. kutoka ................ mpaka .............. inasema hivi 'KUOA LAZIMA'