| Bifu la At na Offside Trick lipo hatari kupamba moto zaidi, pindi kati ya msanii mmoja wapo kati yao akitwaa kinyanyiro wanachokiwania katika Tuzo hizo kubwa nchini. Kutokana na majigambo ambayo wamekuwa wakitupiana katika majukwaa hususani ndani ya nyimbo zao, inaonekana wazi kwamba kupata tuzo kwa mmoja wapo, basi itakuwa kuonekana kama kithibitisho cha yeye kukubalika kuliko mwenzake. Hii inatokana na nyimbo zao kufanana na kuwa na ujumbe wa aina moja wa majibiziano.Ingawa waliitwa kusuruhishwa waimbaji hao wa mduara kutoka visiwa vya karafuu na Majahazi kule Zanzibar, lakini kila mmoja amekuwa akiweka mashariti magumu kwa mwenzake..... |
|
|