Friday, March 16, 2012

Kitokololo sasa kuibadili Bongo Fleva

Mwanamziki ambaye kwa sasa anafanya vizuri sana katika upande wa Kurap kwenye miziki ya Bongo Fleva Kitokololo, kutoka katika chimbo za Fm Academy, amesema kwa sasa amevutiwa ana baada ya kufanya kazi na wasanii wa Bongo Fleva akiwemo Young D 'Tunapenta na Dada ameolewa', pia baadae akafanya wimbo na Jux.
Amesema wamempa moyo sana hivyo kwa sasa anakuja na staili yake mpya ambayo itaitwa Bongo Sebene, ambayo atakuwa akirapp kwenda mbele . amelonga kwamba kitu hicho cha kwanza anataka kumshirikisha Young D 'Young Rapper' pamoja mwanamuziki mwenye mitindo yake pekee yake Dully Syskes ambaye bado hajaongea naye.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi