![]() |
| Watoto pia walimuomba msanii huyo awe anawakumbuka mara kwa mara, na pia aliwaomba wawe anawapelekea vifaa vya muziki jambo ambalo Bob Junior alikubaliana nao na kusema atawapelekea |
![]() |
| Bob Junior pia amewataka wasanii wenzake kuiga mfano huo wa kuwajali watu wenye ulemavu kwani wao pia ni watu na ndiyo mashabiki namba moja wa muziki wa Bongo Fleva. |




No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi