| Muigizaji na Director ambaye anawashika wengingi, mpaka kuupoa tuzo ya Udirector bora katika tuzo ndogo za Mini Ziff Red Capert, ameachia filamu murua ya Jeraha la Moyo. Huku akiachia filamu nyingine ya Toba... Hiyo Toba sasa, Mh!! Kuhusiana na filamu hiyo, inayomuhusu kijana Yasir, mi sitaki kusema kitu maana ni Full Devil, kama ukiangalia na hujabadili tabia basi wewe ni mbishi...... Ina madhari ya kidini, ila inaonya ndani yumo Babra na Chiki Mchome |