Thursday, March 8, 2012

Cloud112 apata mtoto wa kiume siku ya wanawake Duniani


Mwigizaji maarufu nchini Issa Mussa ‘Cloud112’  kwake siku ya Wanawake Duniani ameifurahi kwa njia ya pekee baada ya mkewe Cynthia kwa njia ya uperesheni mtoto ambaye kwa sasa patakuwa na Cloud 112 na Cloud junior.
Cynthia alijifungulia katika hospitali ya Aga Khan, wakati Cloud112 alipokuwa katika uzinduzi wa onyesho la Ongea na Janet .
Cloud112 na Cythia wote ni waigizaji, lakini hivi sasa mkewe huyo ameachana na uigizaji na kujihusisha na utengezaji wa filamu katika kampuni yao ya Cl & Cy Company.