Thursday, March 8, 2012

Siku ya wanawake Duniani

Siku ya wanawake duniani, ilivyofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Mkuu wa mkoa Dar es salaam Saidi Mecky  Sadiki
Wakina mama wakijishughulisha kuonyesha na wao wamo katika ujenzi wa taifa