Sunday, March 25, 2012

Bonanza la Waandishi balaa tupu

Dogo Aslay akiwarusha wana Media
Jana katika viwanja vya Msasani Klabu, waandishi wa habari walikuwa wakifurahia katika Bonanza la Media Day. Katika bonanza hilo wasanii kutoka Tmk Wanaume Family Wakiongozwa na Temba walifanya vizuri jukwaani, huku Fm Academy ndiyowakitoa radha jukwaani. Katika Bonanza hilo mgeni rasmi alikuwa aliyekuwa spika wa Bunge Samweli Sita
Hata waandishipia wanaweza kucheza mpira
Kitokololo naye alikuwepo kutoka Fm Academy
Ngumi nazo zilikuwepo,lakini sio za ovyo ni maalum ingawa kuna kipindi refa alikuwa akijificha nyuma kama unavyoona.
Hapa East Afrika wakiangaliakabumbu ndani ya viwanja vya Msasani mambo yalikuwa makubwa sana.
Sasa zamu ya kilamtu na wake,ilikuwa hiviii
Bibi Cheka, DogoMu , Dogo Aslay na wengine wanaounda kundi la mkubwa na wanawe.
Nurudin, akiwa na Dogo Aslay na Dogo Mu.
Aliyevaa kapero nyekundu mkali ambaye kwa sasa kahamia kwenye Media,anaitwa Soggy Dog Hunter
Madensa wa Fm academy wakijiandaa kukwea jukwaani
Mh Temba akiwa na Kichwa, wakijiandaa kupanda jukwaani
 Bibi Cheka na Said Fella,ingawa baada ya show,bibi Cheka alijikwaa na kuumia puani jambolililopelekea kupelekwa Firsst Aid na kupata huduma ya kwanza kabla ya kuondoka.
Mambo yalikuwa hivii, hata Sam naye alikuwepo kutoka East Africa Tv
Nyoshi El Saadat
Bibi Cheka naye alifuka sana katika jukwaa,lakini utambulisho wake unakuja rasmi katika Pasaka
Kiwewe na Boke wa Big Brother
Samweli Sitta ila yeye alisema kwamba hakuna anayeweza kumzuia asigombee urais....

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi