Sunday, March 25, 2012

Linah aendelea kula shavu Washington D.C

Mwanamuziki Linah Sanga, amewakumbusha mashabiki wake kwamba ingawa yupo mbali  katika Tour ya TAMANI nchini Marekani ,lakini bado anawamiss sana mashabiki wake na kuwaomba wampigie kura katika tuzo za Kili Music Award zinazoendelea kuwaka kilakukicha.

Video mpya wa Linah- Milele

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi