Wednesday, March 28, 2012

Chaz aendelea kula shavu mashujaa


Jana Tarehe 27 march 2012 Wanamuziki wa mashujaa Music  walimchagua kwa kishindo Chaz Baba kuwa Rais wao ktk uchaguzi uliokuwa wa uwazi na haki.Baada ya wasimamizi wawili ambao ni wadau wa Mashujaa,na waliopendekezwa na Wanamuziki wenyewe wakisaidiwa na Mnenguaji mmoja Sweety Baby walihesabu kura kwa uwazi na hatimae kutangaza matokeo.Chaz Baba alishinda kwa kupata kura 19 kati ya 26 zilizopigwa.....

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi