| Siku ambayo ilikuwa wabishi wa mji walipokutana katika mjengo wa Maisha Club na kuonyesha uwezo wao ilikuwa hivi. Hapa Karapina kutoka kikosi cha mizinga, kule Zola D 'John Cena' mambo yalikuwa si mambo, hali ilikuwa tata pale Karapina alipozindua nyimbo zake mbili ikiwemo ile ya Serikali. |