| ::::SINA BUDI KUTOA TAMKO LANGU KWA UMMA:::: ::::::::::::::::Peen
lawyer::::::::::::::::: SIJAKUBALIANA NA MAPATANISHO YA SUGU NA RUGE KWANGU
HARAKATI AGAINST UCLOUDS ZITAENDELEA.. Unajua nini..!iam swahili original,,,na
ntaend...elea
kuwa mimi kama awali...!kazi za kufikisha ujumbe wa watu kupitia internet haswa
wale ambao wananyimwa sehemu ya kusikilizwa kwenye jamii..!online ndio maisha
yangu..! so chocchote kilichotokea ilikuwa ni part ya maisha yangu na kazi
ambayo nimejitolea kuifanya,,,nimekaa na sugu jana na alinielezea yote jinsi
yalivyomtokea na kumbana mpaka akaamua kuamua aliyoamua,,,,nimpongeze kwa kile
alichoamua ,,,,na pili naomba niiweke wazi kuwa misimamo yangu katika unyonyaji
unaofanyaka katika tasnia ya muziki sidhani kama ndio kweli mwisho
umefika,,kwahiyo siamini swala la sugu kushikana mkono na ruge kwani bado
sijaona mabadiliko ya ruge na clouds nzima...! monyeza kwenye more... Uendelee kupata Uhondo tulikuwa tunapigana na unyonyaji
uliyokuwa unafanyika kwenye tansia ya muziki huu wa kizazi kipya,,na ruge na
clouds walikuwa ni moja kati ya wale ma top wanao fanya mambo hovyo,,,kuna
wengine wengi tu ambao tunatakiwa kuwafanyia kazi,,,,lakini kwakuwa tulipata
power kubwa sana ya kupigana kwa kutumia nguvu ya umma,,,yaani jamii ilitupokea
kwa nguvu zote, na tulikuwa tunaongea mengi kuhusu clouds,,tukiachana na yale
ambayo clouds wamesema watayabadilisha,,,lakini still bado kunaonekana kuna
jambo linajificha hapa,,kivipi?sugu alishasema yeye hawezi kukaa na ruge mmeza
moja labda mpaka alipwe fidia ya ule mchongo wake wa maleria,,na jana
ilivyotokea hii inshu,,,,,katika taarifa alizokuwa akikisambazo mkoloni,,,
nakukuu "anti virus iko pale pale akiwemo na sugu ndani na kama madam mchovu
anaongea usenge kumamake ndio atajua kuwa sisi sio madaktari hatutishii,haya ni
maisha na hakuna anachokijua kuma tu akae kimya........kifupi kuchanwa kuko pale
pale sio ruge wala nani.....tafadhalini kumbukeni sugu alishawaambia idadi ya
watu wa kuchanwa imeongezeka mlidhani anatania??? au lini alisema kitu halafu
hakikuwa??? suala la mazungumzo na kukubaliana masuala ya msingi baina yao
kuhusu mradi wa malaria lilikuwa likifanyika mara kwa mara tu, sisi vinega
tumekaa kimya na amekuwa katika malumbano hayo na vikao vingi tu na hatimaye leo
wamekubaliana kimsingi tena kwa maandishi juu ya suala lao huku rugay akikiri
kuwa ndiye alikuwa anazingua.......kuhusu upande wa harakati za muziki ziko pale
pale.......ushindi wa sugu dhidi ya mradi wa malaria ni mafanikio ya
movement,sasa bado virusi vingi tu kwenye hili game na tunakomaa nao.......with
no apology!!!! "mwisho wa kunukuu.......! NA PIA nilipokuwa napigiwa simu na
watu kuhusu hili swala ambalo lilinishtua kama ningekuwa mwanamke wenye mamba
ningezaa au mamba kualibika siku hii,,nilijaribu kupiga simu kwa baadahi ya
vinega nakutakakujua nini kimetokea,,na nilipoongea na kulwa wa mapacha
alinijibu yeah,,mkoloni ameniambia kuwa ruge alikuwa anaenda kule bungeni na
kuongelea swala la kuyamaliza kwa kumlipa sugu ule mradi wake wa malaria,na
kukubali kufata masharti ya vinegar kuhusu studio na TFU,, nikamwambia lakini
unaona huku online jinsi watu walivyo chafuka,,,?akasema ngoja niongee na
mkoloni awape taarifa,na simu ikakatika,pia niliongea na kinega adili naeye
alionekana kutokuwa nataarifa yoyote kuhusu picha na mapatano ya sugu na ruge.
sasa je katika taarifa nilizopewa mm kama kinega wa antivirus ,,,kuna yoyote
ilisema kuwa vinega tumeshinda hata na ile ya malaria?na je kwanini
haijaongelewa hata kwenye ma television ?mm nilimuuliza sugu jana tarehe
21,o2,2012.....! je nigga vipi unakumbuka kuhusiana na inshu yako ya
maleria?umekuwa unajinadi ukisema kuwa ipo siku tu ruge atakulipa fidia yako ya
ule mradi wa maleria,,na je mbona sijaona neno lolote kuhusiana na huo mradi
hapo kwenye karatasi ????na sugu alinijibu kuwa wakati anaenda kwenye huu
mkutano wa kupatanishwa alienda na lawyer wake ambae ni mh tundulisu.!so
tundulisu ndie atakayefatilia mahakamani inshu ya maleria na mpaka ipatikane
haki yake,,,, nilitikisa kichwa nikaona je,,,,?nikweli sugu nnayemfahamu mm
anaweza kukubali lile swala kivile?na nikarudi tena so umekuali kwasababu
umeongea na ruge kuwa atakulipa ama?akasema nimekubaliana na ruge kwasababu kila
hoja ya msingi niliyoiweka mezani kwenye kamati ya bunge ameijibu kwa kusema
inalekebishwa ikimemo na hiyo ya maleria..!akaniuliza sasa peen,,ebu niambie
kama ungekuwa wewe ungefanya nn?ikiwa kama kamati ya bunge imekuomba madai
yako,,na umewapa madai yako na ndio yale ambayo kamati ya bungeimesikiliza
kwenye mixtape zote mbili,,, so kamati ya bunge ikampa ruge hayo madai na ruge
akasema yuko tayari kuyafanyia kazi,,sasa mm ningeinuka na kusema sitaki
suluu??niambie peen?nikamwambia sugu umefanya jambo ambalo ni kubwa kweli kama
lilivyokuwa kubwa wakubwa wa watanzania,,lakini hapo ni sawa sawa na kuuza
misimamo ya baadhi ya vinega ambao wanaonekana mitaani kama wamedandia huu
msafara wa kwenda kunywa maji ya uzima. kwani antivirus ni kitu kikubwa na kama
kweli ungekuwa na maamuzi kama hayo basi ingekubidi utupe taarifa na wenzio ili
tukupe mawazo na misimamo yetu pia kama ilivyokuwa hapo awali,,,sugu alisema
kamati ya bunge hakumpa nafasi ya kujadili hayo na sisi,,kwani ugumu ungezidi
kuwa mkubwa katika kutoa maamuzi ya mwisho,so mim kama peen lawyer swahili
original,,namuheshimu sana sugu na hata niliwahi kusema mtoto wangu wa pili
akizaliwa na kama hatakuwa wakiume basi ningemuita sugu yaani (joseph),, pia
nampa pongezi kwa uamuzi wake wa kuamua kusitisha beef ambayo ni moja kati ya
zile amri kumi za mungu kwa sisi wa christu,, lakini kwangu mimi kama peen,,vita
dhidi ya clouds itakuwepo pale pale bila kushirikisha sugu na yoyote ambaye
atakuwa anaona kuwa clouds ni safi sana,,kwani kuna mambo ambayo bado
yanaendelea hata kwa mfano jana tarehe 21,02 2011,,nadhani kama mlisikiliza
vipindi vya clouds mlisikia jinsi tulivyokuwa tunatukanwa sisi wengine wenye
muonekano kama tumedandia hii safari ya maji ya uzima,, NA SASA mimi nilijikuta
nimejiunga kwenye hizi harakati toka mwaka 2011 mwanzoni wakati baadhi ya vinega
wameanzakurecord antivirus mixtape vol 1,,ndio nilipoongea na kina mapacha,na
kuwauliza kuwa je mnadahni hii mixtape itasambaa vipi?na wakanijibu mitaani tu
kwa sehemu za wanazoburn cd na internet café,,nikawaambia kuwa mimi nna SWAHILI
ORIGINAL Pia ni kwaajili ya mambo kama hayo….!nna website ambayo inaweza
kuwasaidia kusambaza online,,na tukafanya hivyo kweli,,mixtape hiyo ya mwaka
2010 ilipoisha tu kulwa aliniita na akanipeleka sehemu tukaburn cd ile na
akasema tafadhari peen naomba iweke kweli online. Uwe unatupa update za jinsi
inavyo samba kwa idadi ya kipi,,,nilifanya hivyo nakumbuka kwenye website yangu
kulikuwa na tatizo la kuweka file kubwa la kudownload kama lile ya album nzima
ila nilichokifanya nilienda kwenye website ya kuifadhia iitwayo
WWW.SENDSPACE.COM na link yake ilikuwa http://www.sendspace.com/file/ius6ds nah ii ni ile mixtape ya kwanza ambayo bado
ipo mpaka sasa kwenye hiyo link,na pia kwenye website yangu ya Swahili www.swahilioriginaltz.com pia ipo ni ANTIVIRUS
MIXTAPE VOL ONE. Sasa nahii volume two tulifanya hivyo hivyo sema
kilichobadilika ni kwamba niliongeza space kwenye website yangu so file hilo la
album nzima ya antivirus imeingia kwenye website yangu na watu walianza
kudownload humo. Watu wengi wamedownload ni ma elfu ya watu,,na watu walielewa
nini tunaongelea bila kujali kama sugu na ruge wanachuki zao binafsi wala
nini,kuna diagram inaonesha jinsi umma ulivyokuwa unapitia kwenye website yangu
na kudownlaod hizo mixtape hapo chini. Hizi ni statics za downloading toka
kwenye website yangu.hizi ni za Antivirus volume Two tu,,toka sept ilivyotoka
mpaka feb hii.unaweza kuona. Nilijitoa kwa hali na mali kwenye hii movement na
nimekuwa kama kimbelembele kama baadhi ya maadui zetu walivyopenda
kuniita,,lakini mimi sikujali hilo,,nilichoona nikwamba nafight kwaniaba ya
mtoto wangu ambaye bado hajazaliwa,kiukweli kwenye huu muziki wakizazi kipya
unakila aina ya utilitimba ambao naweza kuufananisha na siasa za bongo,, lakini
niliamini kwakutumia njia tulizokuwa tunatumia kama vinega tungefika mwisho wa
harakati kwa kuona mabadiliko kama yalivyo kwenye mapinduzi yoyote ya
harakati,,”no shake hands but can’t you see the changes”nilijitoa kufa na kupona
kwenye hizi harakati ila sasa naamini nimepata cha kumuadisia mtoto wangu ambaye
kwasasa bado yuko tumboni na anamiezi 5 tu. Naamini Kweli hakuna harakati zisizo
na mwisho lakini na ni kweli KWENYE HARAKATI KAMA HIZI KUNA VIFO NA MASHUJAA,,
SASA KAMA KWELI HIZI HARAKATI NILIJITOA KUFA AU KUPONA BASI NAOMBA NITANGAZEE
KUWA MM BADO NI MPIGANANI NA BADO NAPIGANA DHIDI YA UPUMBAVU UNAFANYIKA KATIKA
TASNIA HII YA BONGO FLEVA. Kama sugu alishake hands na RUGE ilikumaliza tofauti
zao basi ni wao na tofauti zao.lakini kwangu mimi napigano bado nayaona ni
marefu sana na sitapenda kuwaonesha wananchi kikomo cha misimamo yangu,ni kweli
ruge amekubali kuanzia suala la studio ya rais kurudishwa kwa basata ili iwe ya
wasanii wote,pia t.f.u ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani t.u.m.a
kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa
na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa
utekelezaji... harakati huwa ni ni mabadiliko yanayoonekana na sio kupeana ahadi
za maneno au maandishi. nasema nashukuru sana kwa wachache wanao elewa ukweli wa
jambo hili,,na pia nawashukuru pia wengi wanaotukana harakati za antivirus
nakuona kama tulikuwatunafanya biashara na mauzo yamashapatikana,,,na mwisho
napenda kumshukuru mh joseph mbilinyi kwa kuuza utu na misimamo yangu kwa
umma,,,kwani pale tulipomuweka yeye kama icon yetu vinega haikuwa inamaana
kwenda kufanya maamuzi bila kutushirikisha kama ilivyokuwa awali.kweli tanzania
ni nchi yenye tabia ambazo hakuna popote dunia. sasa wasanii ambao tulikuwa
tunawaita miskule,masnitch na waoga,,sasa sijui watamuita sugu nani na
vinega?tumepoteza heshima kwa umma,na hususani vijana wa tanzania.na hili kwangu
bado sijalikubali heshima yangu na utu wangu upo pale pale. kweli ile hali ya
kuchukulia kila kitu poa,,naona sasa imezaa mpaka baharini,,kila kitu tu poa
haya wacha iwe poa kwako kwangu balaa yote haya nimeongea na kuandika baada ya
jana 21- 02- 2012 kufanya kikao na sugu na baadhi ya vinega,na nilipotoka hapo
ndio nikapata pa kuanzia kuandika. HISTORIA NA SHINA LA ANTIVIRUS KWA UFUPI:
Naitoa hii ili kuwaonesha wale wachache wanao dhani kuwa hizi harakari
zilianzishwa na sugu baada ya kuzimwa ile dili ya malaria,au kuwa mbunge.haikuwa
hivyo. Harakati za ANTIVIRUS NA VINEGA ni mkombozi wa wasanii wa muziki hapa
tanzania,Kana mengi yanaendelea kuhusiana na hizi harakati hapa nchini,,kuna
mazuri na hata mabaya pia yapo ambapo kuna kasoro ndogo za jinsi wanaharakati
hawa wa antivirus zinavyoendeshwa kwenye jamii. harakari hizi zimesimamishwa na
nguvu ya album ya mchanganyo wa wasanii ambao walikuwa msatri wa mbele katika
kuongea ukweli ambao ndio tatizo la huu muziki hapa tanzania.album hiyo
inafahamika kwa jina la ANTIVIRUS,,na album hii imeundwa na mpangilio wa matolea
maalumu amabyo yanatoka kila mwaka,toka mwaka 2010-11. album hiyo pia
kwakuzingatia maadili ya muziki na lugha iliyotumika humo ndani,,wasanii hao
waliona haikuwa ni vema kuiita album,kwasababu haikuwa inauzwa na wala haikuwa
official kwa jamii nzima ila kwa watu wazima tu na wadau wa muziki tanzania. ni
wasanii wengi walianza hizi harakati na mwanzo kabisa idea au wazo hili
lilianzishwa na MAPACHA yaani kulwa na doto wa (MAUJANJA SAPLAYAZ) na baadae
kumshirikisha mkoloni na profesa ludigo. Muda ulipozidi kwenda wazo hilo
lilizidikukuwa na wasanii wengi walilipenda na walipenda kushiriki katika hiyo
mixtape inayoongelea ushenzi wa wadau wa muziki hapa tanzania hususani kwenye
secta ya bongofleva. mapacha wakiongozwa,mkoloni na baadhi ya wasanii
wakiongozwa na prof ludigo akiwa kama producer wa hii antivirus walianza
mchakato wa kurecord mixtape ya kwanza mnamo mwaka 2010 na baada ya track kadhaa
kukufanywa ndipo sugu nae alikuja na kujiunga na kuweka michano yake.hapo ni
kabla hata hajawa mbunge na wala hajaanza kugombania ubunge,na kufanya vizri kwa
antivirus hii ni ushindi tosha pia kwa sugu kwani misimamo iliyokuwa ikioneshwa
kwenye hii mixtape ilimsaidia hata kwenye kampeni zake za kugombania ubunge.so
kwenye mixtape hiyo ya kwanza sugu alionekana kuongelea sana dili la malaria na
kufanya jamii ijiulize na kutaka kujua haki ya sugu ilikuwa wapi, so watu
walikuja kupata ukweli kuwa sugu ndio alikuwa ana haki zote za ule mchono wa
malaria,sema ruge aliingilia ndani.so akawa kama mtu aliyetendewa ubaya na jamii
siku zote inakuwa na yule aliyetendewa ubaya na ndio maana hata vinega tumekuwa
tukipata support toka kwa umma kwani watu wameguswa na uonezu. so the crew
ambayo ilizalisha hili wazo ni MAPACHA,hii inshu yote ilikuwa ni magenge ya
mwenge NA Producer wao Prof Ludigo,ambapo maujanja saplayaz walipata wazo hilo
la kuanzisha antivirus kutokana na unyanyapaaji wa wasanii na unyonyaji uliokuwa
unaonekana kwenye kituo hicho cha media,,yaani clouds,,na walianza kuonekana
hawafahi kuonekana pale tangu pindi walipoenda kwenye interview na kuulizwa je
nyinyi kama mapacha mtu akitaka kuwaita kwenye show mtadai shilingi
ngapi?wakasema tunahitaji milioni 250 , na walikuwa na makusudi yao kufanya
hivyo na kwanzia hapo walikuwa wanaonekana kama vichekesho kwa watu kwani
walikuwa wakicholeshwa na baadhi ya hao watangazaji kuwa wanajifanya wako
juu,,na hapo ndipo walikaa mtaani wakiendelea na kazi nyingine za kuprint
tshirts na wakiunda wazo la kuanza kurecord nyimbo ambazo zinaongelea huu ukweli
wa clouds na watu kama hao,na baadae wazo lao la kudai haki kwa kuanzisha hii
antivirus ilikuwa ni nzuri kwa kila mtu.wasanii wengi walipenda kujiunga na
wengine waliogopa kujiunga kwani waliogopa kuonekana wanawasema clouds na wakati
still walikuwa wanapenda kuendelea kupokea japo kile kipato kidogo ambacho
wanapokea toka kwao. Hiyo ndio historia fupi ya jinsi antivirus ilivyozaliwa,na
baadae mpaka watu kama sisi tukajikuta ndani na tukuwa na misimamo na mapenzi ya
dhati ya antivirus mpaka kujitoa kufa au kupona kwa lolote lile. So kwenye hizi
mixtape ambazo zilikuwa zinafanyika watu walitoa madai ya msingi na umma
ilielewa,na tumefanya show za kikoa mitatu,ambazo tulifanya viziri hasi mkoani
dare s salaam,na mimi nilishiriki kama msanii na pia I.T TECHNICIAN kwenye
harakati hizi. NASHINDWA KUKUBALI KWELI KATIKA BAADHI YA VINEGA WA
ANTIVIRUS,,walikuwa ni watu ambao siku zote wamekuwa wabishi na wenye kutaka
kujua kiundani zaidi baadhi ya vitu ambavyo huwa vinaonekana tofauti,,lakini
vinega hao leo hii ndio wamekuwa watu wa kutushawishi na sisi wengine tusioelewa
huu mchongo eti nasisi tujirudi?tujirudi vipi na je heshima yangu na imani yangu
kwa umma atairudisha ruge au sugu? mimi sijakubaliana na hiliswala la kupatana
kwa sugu na ruge kwa sababu nyingi kama hizi:- 1.sugu hakutushirikisha vinega
wenzake juu ya hii inshu mpaka anafikia kuchukua uamuzi. 2.sugu alishawahi kuapa
kusema hawezi kukaa meza moja na ruge unless ruge amemlipa kwanza ule mradi wake
wa malaria.sasa kama ameweza kukaanae meza moja na hata ameweza kushake hands
nae?je atakuwa amelipwa milioni ngapi mpaka kutusahau sisi wengine huku na
kutupa surprise ya kutukatisha maisha? 3.kama kweli sugu ameamua kupatana na
ruge je?clouds tabia zao ambazo wamekili kuzibadilisha watabadilisha ikiwa
kwanza siku ya mapatanisha hayo watangazaji wake walianza kwa kutukashifu na
kutukebei vinega ambao tumeonekana kama wafata upepo tusio na maamuzi na wala
mawazo tu juu ya swala la upatanisho wetu na wao? 4.je ruge alikuwa anatafuta
suluhisho kwa vinega au kwa sugu kama sugu?kwani sijaskia vinega wanatajwa kama
ni watu tunaotakiwa kusimamisha hizi mambo za kuwasema kwa mambo yao ya
uclouds,unyanyapaaji wa wasanii,na mengine.kwani mimi binafsi ntaendelea
kureport na kuelezea umma juu ya mambo ambayo nayajua kuhusu clouds na ruge,sasa
yeye ataweza kumchana tena?na je kama hatoweza tutakuwa na kinega gani tena
kundini? 5.je kabla hajaamua hayo maamuzi yake sugu,je ni kweli aliamua
kutuchoresha wenzake kwa umma kwa kutoonekana hatuna any say wala mawazo kwenye
hizi harakari za antivirus?je heshima ambayo imeshuka kwangu itarudi vipi?
6.siamini kama upatanishi wao ndio ushindi wa antivirus kwani kwa nchini yangu
mimi nayajua sana mambo kama haya,,hakutakuwa na anychange na wala hakutakuwa na
heshima ya antivirus tena,so kila kinega ataheshimika kwa misimamo na mawazo
yake kwa jamii. 7.kwanini madai yote ambayo alikuwa yanaongelewa na antivirus
mixtapes ambayo ruge kayakubali kuyafanyia kazi hayakuwekwa wazi kwa umma kama
yalivyowekwa yale ya studio ya raisi na TFU kwenda TUMA?namaanisha mradi wake wa
malaria,ulikuwa hatusu ila ulituhsu tangu pale tulipo uingiza kwenye malalamiko
na madai ya antivirus na kuwaambia wananchi,so kama ndio ilikuwa sababu ya yeye
kukubali kutusahau wenzake kwasababu amembiwa kulipwa ile inshu yake basi
kwanini hajaiweka wazi? 8.JE KAMA INGETOKEA KINEGA MWINGINE NDIE ANGEFANYA HAYO
MAMBO YA KUKUTANA NA RUGE NA KUPATANA KWA NIABA YA VINEGA WOTE INGEELEWEKA VIPI?
hayo ndio kati ya yale mengi ambayo yananitoa imani na upatanisho wa sugu na
ruge na kunifanya nionekama kuna mambo ambayo yamejificha nyuma ya kamera,, Sasa
kuna maswali nimekuwa napokea toka kwa waandishi wa habari ,wasani,mashabiki na
wadau wa antivirus..,kiukweli bado sijajua nini cha kuwajibu kwani nadhani ni
maswali ambayo hayaniusu mimi,,kwani mimi siye ambaye nimeonekana kushake hands
na ruge,mimi niko zangu na wala nilikuwa sina hiyo taarifa,,sasa kama kweli haya
maswali yanahitaji majibu basi ningeimba hayajibu mh joseph mbilinyi sugu,ambaye
ndie aliekubaliana na ruge kuhusu zile hoja zote za msingi. MASWALI: “I WANA KNW
A LITTLE THINGS ABOUT OUR SLOGAN ''ANTIVIRUS WITH NO APOLOGIZE'' plz Vinega help
me am nt clear” “ BDO NNAUHAKIKA MAKUBALIANO YA SUGU NA RAGAY HATA WADAU WA
KARIBU WA SUGU(kama mkoloni,d,k,peen,adil, n.k) HAWAKUSHIRIKISHWA WALA HAWAJUI
LOLOTE NDO MAANA KILA M1 ANASEMA LAKE ...MKOLONI KAPOST HICHI, PEEN NDO KWANZA
ANALALAMIKALAMIKA NA MAFUMBO KIBAO,D MAUJANJA KABAKI KU-LIKE STATUS ZA W2, NA
SAHV ADILI NAE KAONGEA KINGINE....SUGU SUGU SUGU UNATUCHANGANYA...” “KAMA RUGE
ALIWEKA KUWAIBA BAADHI YA VINEGA KAMA MANZESE CREW,GANGWE MOB?SASA ANGESHINDWA
VIP KUMUIBA NA SUGU?” “HIVI KWELI KUNA MTU ANAIMANI TENA NA SUGU AU KINEGA WA
ANTIVIRUS KWAUJUMALA? “ “SUGU NDIO ALIKUWA ICON YAO,SASA KAMA YEYE KATOKA NANI
ATAONGEA KITU NA TUMSIKILIZE?MAANA TULIKUWA NA IMANI KUWA YEYE NDIO ANAYACHUKUA
YA MITAANI NA KUYAPELEKA MJENGONI?DAH NDIO MAANA HATA ZITTO NAE ALIKUWA HIVI NA
AKATULIA” “Magenge haya maswali yananisumbua kichwa sana; 1. Kwann mpaka sasa
MAGENGE yalyopka ANTIVIRUS album yapo kmya? Hata yanayoongea, yana2mia mafumbo!
2. Hizi T_Shirt za ANTIVIRUS 2nazotisha nazo ktaani, 2endelee kuztnga? Au ndo
2zpeleke ktk majumba ya makumbusho? 3. Kama Mh. Mbunge amepatana kirahisi na
Gay? Hawez kupatana kweli na CCM na akarudisha kadi ya chama che2? 4. Kwann
Mashoga wa WAFU FM wawe wa kwanza ku2juza juu ya hii inshu? Na si Kiongozi we2?
5. Vp khs show za FIESTA, 2anze kutmba 2? Na kuhusu zile line za AIRTEL
2lzozvunja, 2kazili_new au? 6. Vp khs zle ngoma za ANTIVIRUS, 2endelee kuzcklza?
Na WAFU FM vp, nayo 2itegee ckio? 7. Ile operation 2lyojuzwa jana ya "Ondoa
Uclauzz, Ongeza Magenge!" itaendelea? Vp khs zile show za ANTIVIRUS ztaendelea
mikoani? 8. Kipi kimemsukuma Mh. Mbunge a2saliti? Gay amefka dau? Au Mh. Mbunge
alkuwa akipma kasi ya mto kwa kuingiza mguu? MAGENGE naombeni mwongozo, mana
mpaka sasa nipo dilema. 9.Vinega wenye kama peen,mapacha na wakina adili wenye
wameonesha kupigwa na supriz,,na hili swali kivip?post zao limeonesha kuwa
watatujuza baada ya muda kivipi?walikuwa hawana habari yakutupa wakati
wanayakologa au? 10. SUGU na WAPAMBE WAKO kitaa kitawahukumu,watu wamejitoa kwa
ajili yetu japokuwa hawanufaiki na chochote leo hii mnawasalit? 11. mnategemea
mtesema nini tena na umma iwasikilize? 12.hivi kama vinega wa online kama adili
mapacha walikuwa hawana habari je wasanii kama sister p na mabaga fresh je?na
hivi bou nako atawaelewa kweli?ndo maana nimemuona na vatoloco pamoja? 13.soggy
vip jamani mbona kama hayupo hivi…?hata suma?jamani vip?dah jamaa kawacholesha
wenzake kwa maamuzi yake binafsi…! HAYO NI BAADHI TU YA MASWALI NILIYOPOKEA TOKA
KWENYE SIMU YANGU YA MKONONI NA ONLINE. WAKO KATIKA HARAKATI ZA KWELI NA NTABAKI
KAMA MFANO WA REAL KINEGA LABDA WANIUE PEEN LAWYER - SWAHILI ORIGINAL 22/2,2012
NB: one Copy kwa kila kinega,Na one copy kwa umma, one Baba yangu mzazi, one
copy ntaiweka kama history ya mwanangu ambaye anategemewa kuzaliwa,na copy moya
ntakuwa nampa kila anayenitukana na kuniuliza maswali.See
More |