Friday, February 24, 2012

Mpigie kura Jay Moe

Mwanamuziki Juma Mohamedi Mchopanga 'Jay Moe', na Producer mahiri kutoka Bongo Record P Funk majani, wanaomba kuwapigia kura ili waweze kuibuka washindi kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kili Music Award mwaka 2012