Mambo
Vipi Guyz....Jamani kwa mara nyengine tena Nipo katika Kugombea Tuzo Za Tanzania
kupitia music Plz i nid kura zenu zote This Tym nichukue Tuzo mbili nazogombania
1.Mtumbuizaji Bora Wa Kiume Andika neno B3 ktk simu yako Then tuma kwa namba
15747 2.Mtayarishaji (Producer) Bora Wa Nyimbo Mwaka 2011-12 Andika neno T3... ktk simu yako
Then tuma kwa namba 15747 Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu asanteni kwa
wote mtakaobahatika kunipigia kura 1 Love & Katika mtandao basi mnaweza
kuvote www.kilitimetz.com au ktk www.teentz.com au ktk innovexdc.com Pamoja
guyzSee
More