Monday, February 27, 2012

Izzo B aomba kura za Kili Music Award

kunipigia kura ktk tunzo za kili kama msanii bora wa hip hop unaandika kili unaacha nafasi then p3 unatuma kwenda 15747 kama wimbo bora wa hip hop unaandika kili unaacha nafasi then j4 unatuma kwenda 15747 kama wimbo bora wa mwaka unaandika kili unaacha nafasi then f6 unatuma kwenda 15747..naomba kura yako kuiwezesha ''RIZ-ONE'' kuchukua kombe asanteni..