Thursday, February 23, 2012

Mboto anaamini Rich ndiye anayeweza kumchezesha

Mwigizaji wa filamu za kuchekesha, Haji Salum ‘Mboto’, amesema filamu nyingi anazoshirikishwa huandika mwenyewe muongozo wa mchezo wake ‘script’ sababu ya kushindwa kumchezesha.
Mboto amesema mara nyingi anapopewa huwa zinamapungufu kutokana na uigizaji wake, hivyo na kujikuta akiandika upya yake wake.
Anasema msanii pekee ambaye amekuwa akimchezesha vizuri ni Single  Mtambalike ‘Rich’, kama kwenye filamu ya Mtaani Kwetu.
Achoniandikia ndicho mimi  inanipashwa kufanya na huwa nakubaliana nacho kwakuwa hajakosea kwa mahitaji yangu ingawa kama nitabadilisha ni kidogo sana.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi