Thursday, February 23, 2012

Kikosi cha Mizinga kuja na usiku Wabishi wa Mji


Msani wa muziki wa kizazi kipya Karama Masoud ‘Kara pina’ anatarajia kuzindua nyimbo mbili Serikali na Lawama huku wakisindikizwa na mapambano ya ngumi.
Mwanamuziki huyo ambaye alishwahi kugombania udiwani kata ya Ananasifu, amesema wasani kama J Moe, Dogo Amidu, Zola D na Ibra Brash watasindikiza uzinduzi huo.
Aidha amedai pia kutakuwa na mapambano ya ngumi, kati ya Zola D na Seck Erison wakatio huohuo Francess Miyyeyusho na Bad Punch na onyesho la mavazi kwa kinadada wa Ki hip hop.
Uzinduzi huo anatarajia kuzindua siku ya jumapili, New Maisha Club akiupa jina la Wabishi wa Mji.