| Mbunge wa Mbeya mjini (Chadema)Joseph Mbilinyi 'Sugu' ambaye kiongozi wa kundi la muziki linalojiita Vinega na kampeni yao ya Ant Virus, pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Luge Mutahaba, wamemaliza tofauti zao baada ya kukaa meza moja na kutafuta suluhiso la tatizo lao lililodumu zaidi ya Miaka miwili. Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Emmanuel Mchimbi, ndiye mtu pekee aliyesimama kati na kusimamia mambo yote hayo mpaka wawili hao wanakubaliana. |
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi