Sunday, February 19, 2012

Amini kuhama THT ?


Mwanamuziki  Amini Mwinyimkuu  ‘Amini’ amesema jambo laa kuhama kwake THT  kwa sasa hawezi kuliongelea ingawa tayari zimeshazagaa mtaani.
 mwanamuziki huyo aambaye alitamba na wimbo kama Robo saa, na Mapenzi yameteka dunia amesema maneno hayo yanatokana kwakuwa hajaonekana kwenye matamasha ya THT.
Hata hivyo mwanamuziki huyo amesema ipo siku ataongea ukweli juu ya jambo hilo kwakuwa na mapema sana.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi