Sunday, February 19, 2012

Chaz baba na albamu yake ya kwanza


Msanii wa muziki wa dansi nchi  ambaye alitikisa kutoka na na kuhama kwake kwa bendi ya zamani Twanga Pepeta na kuhamia bendi mpya ya Mashujaa, Charles  Gabriel  ‘Chaz Baba’ amesema mkataba wake haubaki katika kutengeneza kazi zake mwenyewe.
Mwanamuziki huyo amesema hivi sasa tayari ameshaandaa nyimbo nne ambazo zitakuwa ndani ya albamu yake, ambayo itatoka hivi karibuni.
Alisema ujio wa albamu yake hiyo ndiyo utakao thibitisha kwamba muziki kwake amefanya kama kazi,  kwakuwa itakuwa na nyimbo kali nane.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi