katika uzinduzi huo uliofanywa katika ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam, mshiriki ataweza kujishindia kwa kucheza kiasi chochote, ambapo zaidi ya hapo itamrudisha kwenye drow ambalo litamfanya aingine katika drow kubwa.
Alisema mshiriki ananafasi kubwa ya kushinda, kwakuwa hata akikosa bado atakuwa anajipa nafasi ya kuendelea kushiriki katika awamu nyingine na kufanya asichane mkeka wake.
Wasani kutoka katika kundi la Wanyabi, Carpoza amesema wamekuwa wakifanya vizuri kwenye fani yao ya uigizaji ndiyo maana wamekuwa wakipata madili mengi ya kutangaza makampuni ya wa watu tofauti.
Alisema kampuni hiyo wamejua ubora wa kazi yao, ndiyo maana wameamua kufanya nao kazi hiyo anaamini watafika mbali kama wakishikamana kwakuwa anaamini Bet 888 sio wababaishaji kama ilivyokuwa kwa wachezeshaji wengine wa michezo wa Bet.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi