Wednesday, September 14, 2022

Serikali yaenda kumaliza shida ya maji Butimba


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022. Kulia ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso , Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima na Waziri wa Ardhi Dkt. Angelina Mabula.

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi leo tarehe 14 Septemba 2022.

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi ,wafanyazi wa mradi pamoja na wananchi mbalimbali mara baada ya  kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.

 

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi