Tuesday, September 6, 2022

Makamu wa rais akutana na waziri wa mambo ya nje Rwanda



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya

Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda  Mheshimiwa Vincent Biruta wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu

Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi