Wednesday, September 14, 2022

Makamu wa rais akamalisha ziara yake Mwanza aacha neema

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.

Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa ndege wa

Mwanza baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo

leo tarehe 14 Sepetemba 2022.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi