Tuesday, October 8, 2019

Raya, babuu, Kamos na Razack waiva

 Katika moja ya Scene ambayo imekuwa ikipendwa wa watengenezaji wa tamthilia ya Mabibo Mabwawa 7, ni pale Razack (Bugo) alipoenda maskani kwa kina Monster (Rama Shauri) ili kujua kwanini amempiga chupa mdogo wake Kamos aka Jeba.

Lakini alipofika huko alimkosa Monster na kumkuta Mpambe wake, wakati huo mtoto wa waziri Raya Kikwa, yeye alikuwa akitamani ugonvi huo uende polisi, huku akisahau huyo mpenzi wake mwenyewe Razack naye anakesi kibao huko polisi.

Mabibo Mbawawa saba, chini ya kampuni ya Gomesa Entertaiment inakuja kuleta mabadiliko kwenye sanaa ya Tanzania kupitia katika kata ya Mabibo.

Mabibo ndo sehemu pekee ambapo matatizo yetu tunayatatua kwa misingi ya mtaani, huku sheria ikiwa nyuma.
Raya, akiwa na mpenzi wake Razack  pamoja na Kamosi (Jeba)

Jeba au Kamosi akiwa amepigwa chupa na kundi la Machizi 120, huku akiwa amembeba kwenye pikipiki kaka yake Razack na semeji yake Raya mtoto wa tajiri

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi