Monday, October 14, 2019

K Milionea akiigiza mlevi Mabibo Mabwawa 7

Mwigizaji wa filamu K Milionea akiwa na baadhi ya watu waliokuwa wakiunga mkono tamthiliya ya Mabibo Mabwawa 7 katika kilabu cha Pombe kinachomilikiwa na mzee Amani,kilichopo eneo la Mabibo Bacelona.

K Milionea alikuwa mmoja wa wasanii ambaye alikuwa akiigiza nafasi ya kundi la Machizi 120, linaloongozwana Monster na Mzimu chini ya kampuni ya uandaaji wa filamu Tanzania ya Gomesa
Entertaiment.
 K Milionea akiwa na pombe aina ya Mnazi.

Meneja Mipango wa Mabibo Mabwawa sana na muigizaji Andrew Mathayo (Mjumbe Ndito) akiwa na wasanii wengine Zawadi na Atu, wakiwa katika moja ya sehemu tuliyokuwa tukiigiza katika Kilabu cha pombe maarufu kwa Mzee Amani.
Mzee Amani akiwa na kijana wake wakitoa msaada mkubwa kwa waigizaji wa Mabibo Mabwawa 7,  hii ni sehemu ya kuhakikisha Mabibo inakuja kuwa eneo jipya la vipaji chini ya kampuni ya filamu Tanzania ya Gomesa Entertaiment.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi