Thursday, August 29, 2019

Dotnata - Machizi 120


Kuna siri nyingi sana ndani ya Tamthilia ya Mabibo Mbwawa 7, moja ya siri kubwa ni kuhusiana ni nani hasa kiongozi wa kundi la Machizi 120, nani anawadhamini nani ambaye anawapa jeuri  nani anawapa msaada. Huku Madam Black Mamy (Dotnata), huku Darkman , kule Fox, Monster na Mzimu, lakini kuna mheshimiwa Waziri wa Mambo ya ndani.

Hapo ndo utakapojua kama Gomesa Entertaiment imepania kuleta burudani ya sanaa ndani ya Mabibo na Tanzania kwa ujumla, Gomesa Entertaiment inataka kuanza na nyumbani kabla ya kuhamia katika soko la Kimataifa. Mabibo Mabwawa 7 ni zaidi ya Tamthilia kwa Watanzania.

bBlack Mamy akiwa na Tembo, wakifanya biashara, ambayo hadi sasa hatujui nini hatma ya Biashara yao chini ya kundi hatari la Machizi 120, wanaotamani wakubwa dawa washindwe kazi wao waichukue Mabibo na kuleta utawala wao.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi