Thursday, August 29, 2019

Banda Respect wafanya yao Mabibo Mabwawa7

MABIBO mabwawa 7 ipo kwenye katika hatua nzuri ya umaliziaji wa Cast za wahuni, na hii ni moja ya cast ya Mabibo Mabwawa7 iliyofanyika eneo la Banda huko Mabibo wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.

Katika nafasi hii ya kiongozi wa klundi la wahuni , imechezwa na Rama Shauri aliyetumia jina la Monster, pamoja na mpambe wake wa karibu Lau aliyetumia jina la Mzimu chini ya kampuni yako changa, ambayo inakuja kuletamabadiliko ya Gomesa Entertaiment.

Gomesa Entertaiment inaamini katika ile ndoto kwamba toa kibanzi katika jicho lako ndo uangalie na la jilani yako, sisi kama wakazi wa Mabibo tumeona ni bora tuanze na vipaji vya nyumbani kwetu. Hii ndo Mabibo Mabwawa 7 Tamthilia iliyochezwa na Underground ambao ni mastaa wa baadaye.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi