MWANAMUZIKI
wa muziki wa Singeli Seleman Jabir ‘Msagasumu’ amesema wasanii wa muziki wa
Bongo Fleva, hawana hofu na muziki wa
Singeli isipokuwa wanahofu nay eye katika muziki wao wa Bong
o fleva.
Msagasumu ambaye moja ya kazi yake nzuri ni Mwanamme Mashine amesema wasanii wa muziki wa singeli hawana
ushirikiano hata kidogo, hivyo wasanii wa muziki mwingine huwa wanamufia yeye
na sio muziki huo ambao kwa sasa kama unapoteza ramani.
Alisema amekuwa akipigana na kupambana na nafasi yake
ili kuweza kufanya vizuri zaidi, sababu anaamini muziki wa singeli ni mali yake
kwakuwa ndio aliyeuanzisha.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi