Kama alivyowah ijulikane kusema yeye ni shabiki mzuri wa mwanamuziki Diamond Platnumz hivyo ukimgusa, lazima juu ndivyo hivyo mwanamuziki Shilole alivyoamua kumkatia makavu mwanamke mwenzake Hamisa Mobetto tangu alipotoa ukweli kuvaa na Diamond.
Shilole aliandika haya kwenye kurasa yake ya mtandaoni; Mwanamke asiyejielewa ndio huwa hutumia mwili wake kujidharirisha na kuwatumia watoto malaika wasio na kosa kutafutia kiki. Mwanaume akikupenda atakuweka ndan atakuthamini. Kinyume na hapo mtatumiana kwa maslai yenu binafsi.
Ukiwa mwizi unakuwa hata na heshima kwa mwenye mali yake yann mpk udhalilishwe na mwanaume ijulikane hupendwi ila umetumiwa tu. Vinginevyo hata huduma unayopata kwa wiki utaisikia bombani.
Ukiwa mwizi unakuwa hata na heshima kwa mwenye mali yake yann mpk udhalilishwe na mwanaume ijulikane hupendwi ila umetumiwa tu. Vinginevyo hata huduma unayopata kwa wiki utaisikia bombani.
Kwani haiwezekan mwananke kufighty na kutulia na watoto wako mpk utengeneze drama? Hebu tubadiliken jmn huu u GOLD DIGGER unatudhalilisha tu. Aaagh mi nakereka tu hebu niendelee na umama ntilie wangu au sijui na mm niwatafute wababa wa watoto zangu tuanze drama😂

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi