Monday, September 25, 2017



Mwana muziki wa dansi Khalidi Chokoraa amesema mambo yake yameanza kumuendea vizuri tangu alipoamua kuachana na bendi ya Twanga Pepeta na kufungua bend yake ya Mapacha Watatu.

Chokoraa ambaye alitoka bendi ya Twanga  amepata safari ya kwenda kufanya matamasha mkoani Arusha, ambapo atapiga sehemu mbalimbali.
Alisema pia tayari amesahapata sehemu ya kupiga kila jumamosi katika hoteli ya Holday Inn, na tayari ameshaanza kupata nafasi za kuombwa kupiga sehemu zingine tofauti.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi