Kama ipo ipo tu, walijisemea waswahili mwanamuziki ambaye amechipukia kwa kasi kupitia kibao chake cha Kwetu, sasa anatarajia kufanya vizuri katika shindano la kumtafuta msanii anayechipukia na kufanya vizuri katika tasnia ya muziki Afrika.
Huu ndio muda wa kuungana mkono.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi