Mwigizaji wa filamu nchini ambaye kila siku anatanga kustaafu, Jacob Stephan ametuma salamu kwa mashabiki zake akiwa katika kijiji cha mama shaujaa na kusema.
Usikose
kipindi cha mama shujaa wa chakula..kila siku kuanzia saa 12.30 hadi 1kamili
usiku ITV...utakutana nami nikikupa burdani pamoja na kina mama 15 kutoka mikoa
mbali mbali Tanzania..tupo Enguiki Monduli juu...kwa siku 21 za kipindi
hiki..hadi Tupate mshindi atakaye ondoka na zawadi za zana
zakilimo/uvuvi/ufugaji..zenye Thamani ya milioni 25...piga kura yako leo kwa
mama shujaa wa chakula unaetaka ashinde..#kazi za kibalozi..oxfam
grow campaign#

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi